SISI WATANZANIA TUMEAMUA... from ya mujibu Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Jumuia ya Kimataifa kututambua namna tunavyojitawala kwa mujibu wa sheria zetu na kuheshimu mikataba na ustaarabu wa dunia.nnSerikali ya Nchi yetu imejikita katika ujenzi wa uchumi imara na madhubuti kwa wananchi wote hasa wanyonge;nn• KWA kuboresha utendaji, nidhamu na utumishi kwa watumishi wa Umma wote, nn• KWA kuelekeza fedha za kutosha kwenye miradi ya maendeleo ya wananchi, nn• KWA kustawisha huduma muhimu kwa wananchi kama Elimu, Afya, Maji, Umeme na pembejeo za kilimo, nn• KWA ku